Tuesday, 22 May 2012

Maeneo ya Kumshika Mwanaume...

Habari dada Dinah
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo  nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye process za ndoa.


Tatizo mimi ni mwembamba yeye ni mnene na mboo yake ni kubwa na ndefu akitaka kuanza kuniingilia kwa ajili ya kufanya mapenzi naumia mno anaishia kuingiza kichwa tu.

Hebu nisaidie nifanyeje na nakaribia kuingia kwenye ndoa. Pili nataka kujua sehemu zipi nimshike ili apate raha.

******************************


Dinah anasema: Kwanini unasema "tatizo nimepata mchumba"? Inamaana haukotayari kuolewa nae? Kwanini udhanie kuwa na mchumba ni tatizo?

Wembamba wako hauna uhusiano wowote na unene wake kwenye suala la kufanya mapenzi.


Kwa kawaida kuingiliwa kwa mara ya kwanza (tolewa Bikira) kunauma na sio wanawake wote wanaotolewa Bikira siku ya kwanza kwani hushindwa kuvumilia maumivu na hujawa na Uogoa hivyo misuli ya uke inashindwa kujiachia(relax).


Ndio maana zamani wakati Mabinti wanaolewa na Bikira walikuwa wanakaa ndani siku Saba, Usiku wa ndoa Bikira inatolea na siku saba baada ya hapo mwanamke "anazoeleshwa" uume(kuingiliwa ukeni) na yeye kuonyesha mambo mengine ya kimapenzi aliyofundwa kwao.


Ikiwa Mchumba wako amefanikiwa kuingiza kichwa ni wazi kuwa wewe sio Bikira tena, isipokuwa Uke wako haujazoea kuingiliwa na kitu kinene na kigumu + hofu ya kuumia.


Vilevile kichwa cha uume huwa kikubwa kiasi kuliko sehemu ya nyuma ya Uume, ikiwa kichwa kinaingia ni vema kama utavumilia ili aendelee kuingia taratibu na kwa hatua, sio anaingia moja kwa moja na kwanguvu na shauku zake zote....utaumia na kumchukia!!


Weka uaminifu kwa Mchumba wako na muombe aingie taratibu-taratibu, usiwe na haraka ya kuzoea leo au kesho! Unaweza kusubiri mpaka mtakapofunga ndoa na kwenye Fungate ndio mkazoeshane.


Wanaume wanatofautiana hivyo siwezi kusema umshike wapi ili afurahie kwani mie simjui(sijawahi kuwa nae hehehehehe)....anyway! Kuna maeneo ambayo ni General na mengine jaribu kubahatisha au kutafuta jinsi mnavyozidi kuzoeana.

--Kubusu shingo katika mtindo wa kuuma kwa mbaaali


--Busu au papasa juu ya Kinena(sehemu inayoota mavuzi) au niseme kiunoni kwa mbele hivi kama unaelekea chini ila usifike kwenye uume.


--Lamba katika mtindo wa kunyonya Chuchu, hakikisha unazinyonya kwa kupokezana, usibaki kwenye chuchu moja kwa muda mrefu kwani utampoteza "msisimko".


--Masikio, unaweza kuwa ni sehemu ya chini, kwa nyuma au kwa ndani kama sio sikio lote. Tumia midomo yako kulamba, busu, hemea na nong'oneza maneno matamu kumfanya Mchumba wako asikie raha na kuelewa hisia zako kwake.


--Busu katika mtindo wa kulamba sehemu ya ndani ya mapaja yake, pia busu sehemu ya nyuma ya kiuno(juu kidogo ya makalio yake).


--Shika Kende zake na kuzichezea(taratibu usimuumize) na tumia midomo yako kutumbukiza pumbu na kuzitoa kama vile unapuliza ki-slow-mo.

Anza na hivi, vingine tutaendelea kuelekezana jinsi unavyoendelea na maisha yako ya ndoa.


Maana ukionyesha mengi jamaa anaweza kukushangaa....Lol!


Hongera sana kwa kuchumbiwa na kila la kheri kwenye maandalizi ya Ndoa yenu. Mungu awaongoze na kuwalinda.
------------------

Mpenzi kabadili Muhamaniko wakati wa kungonoana....

Hi Dinah!
Mara ya kwanza nakuja kuuliza nipate uzoefu wa wadau! Nina mpenzi wangu na huwa tunafanya mapenzi mara kwa mara. Yaani haipiti mwezi au miezi miwili bila kufanya.


Lakini hapa Juzi kati kama kawaida yetu japo kimepita kipindi kirefu kidogo tangu tukutane nimeshangaa amebadili kilio au tuseme ule muhamaniko anaokuwa nao wakati tunafanya mapenzi.

Huwa nimezoea "dia dia ahh! ooh! Asante,Am sorry Am sorry ooh dia dia! endelea hapo hapo! Am sorry Am sorry".


Hayo ndio maneno huwa nimeyazoea tukiwa tunakong'oli. Lakini Juzi nimesikia hakuna dia dia ila Mpenzi wangu mara ikikolea anasema nsamehe mume wangu nanilipokuwa naendelea kukong'oli kunawakati akasema ooh Mpenzi wangu umepata hizi nguvu za ziada ooh Mume wangu na kuendelea.


Nnachojiuliza maneno mume na mpenzi hajawahi kunitamkia wakati tunasex huwa ni dia tu. Sasa hayo katoa wapi?.


Na pili kusema mbona leo nna nguvu za ziada nimetoa wapi wakati tunasex anatamka hayo maneno Yamenistua sana, ndio maana nataka kupata ushauri je ni kawaida ama kuna mtu mwingine wana mahusiano ambao wameahidiana kuoana kiasi kwamba wanaitana mume na mke?.


Na je huenda labda huyo anayemuita mume au mpenzi wake hana nguvu kama zangu ndio mana akajisahau akasema nimetoa wapi nguvu za ziada?.


Dada Dinah Je ni Kawaida? Au kuna kitu hapo?.Naomba ushauri wako ili kama amepata mwingine nimuachie uhuru!
------------------

Sunday, 13 May 2012

Ndani ya Wiki mbili kesha "move on" na jamaa kwenye WhatsApp!

Habari yako dada Dinah,

Mimi ni kijana Mtanzania, nina jambo ambalo ningependa ushauri wako. Jambo lenyewe ni kwamba nina mpenzi wangu ambaye tuligombana na tukakaa kama wiki mbili hivi hatuelewani...ndani ya hizo wiki mbili akafanya ngono na mwanaume mwingine.


Sasa baadae, baada ya hizo wiki mbili tulikuja kuelewana tukasameheana yale yaliyotugombanisha. Hapo bado sikuwa najua kama alifanya ngono na mtu huyo mwingine.


Sasa baada ya hapo tukarudiana na kuendelea na uhusiano kama mwanzo, Mpenzi alikuwa anatumia simu ya Blackberry ambayo baadae alinipa mimi niitumie kwasababu yeye tayari alishapata simu nyingine ambayo sio Blackberry lakini anaipenda zaidi. Nikaichukua ile simu nikaweka line yangu ya vodacom.

Cha kushangaza, baada ya siku kama mbili tatu hivi napokea Message kutoka kwa mtu ambaye walikuwa wakiwasiliana kupitia WhatsApp, hiyo message ilikuwa ya kimapenzi...then muda mfupi nikapokea picha mbili ambazo huyo jamaa alizituma.

Hizo picha zilionyesha walipiga wakiwa wote, moja wamelaliana yeye mpenzi akiwa amejifunga khanga moja tu, na nyingine wanakipeana busu yeye akiwa amemkalia huyo jamaa...


Nikaamua kumuuliza taratibu kwanza kabla hata ya kumuonyesha hizo picha, nikamuuliza kama anazijua namba za huyo jamaa nilimuonyesha maana kwenye whatsApp namba ya alietuma inaonekana, akasema anamjua.


Nikamuuliza wakoje naye, akasema ni rafiki tu japokuwa jamaa anamfuatilia mara nyingi kwani amekuwa akimtaka...akakataa kabisa kusema ukweli.


Baadae nikawa mkali na kumwambia tuachane kabisaa aendelee na huyo jamaa yake! Akawa mkali, hapo bado sijamuonyesha zile picha, akawa analia machozi kabisa kila siku ananibembeleza nimsamehe kwakuwa hakuwahi kuniambia kuwa huyo jamaa huwa wanatongozana japo bado hajamkubali.


Ndio siku moja nikamwambia upo tayari kusema ukweli ili nikusamehe?..akasema ndio! basi nikamwambia tukutane sehemu tuongee....ukweli ni kwamba hakuna alichokisema kipya zaidi ya kusisitizia kuwa huyo jamaa yeye ndiyo anaemfuatili (kumtongoza) lakini yeye hamtaki na wala hawajawahi kukaa au kukutana faragha popote.

Nikamuuliza je? nikikuonyesha ushahidi kwamba yule ni bwana yako, nimfanye nini?...akanijibu niachane naye nisimsikilize tena na akasema yeye atakuwa Malaya na hafai...


Mmh nikaguna kidogo, nikamuuliza tena kama kuna jambo ambalo amefanya nae halafu hajaniambia basi aseme lakini wapi...akang'ang'ania msimamo wake.


Ndipo nikamuonyesha hizo picha mbili. Alitahamaki, akaanza kulia na kuoba msamaha tena kwa kunipigia magoti, ila moyo wangu ulishakufa ganzi nilipomuona anajiamini baada ya kupinga maswali yote niliomuuliza wakati ni uongo ambao hata yeye alikuwa akiujua kuwa ni uongo.


Kwasababu baada ya kumuonyesha zile picha tu alianza kulia na kuomba samahani nisifanye yale aliyojiapiza, wakati nilitegemea angezikana zile picha au angalau abishe bishe kidogo lakini alizikubali pale pale na kuanza kulia na kuomba samahani akinisihi nisifanye yale aliyojiapiza...


Hapo mimi nilinyanyuka na kuondoka zangu nikimwambia tusijuane tena...aendelee na huyo jamaa yake...


Hivi ninavyoongea mpaka sasa bado hatuna mawasiliano mazuri, mimi ndio sitaki kuwa naye tena japo roho inaniuma lakini nikimuangalia nasikia hasira sana.


Nimejaribu kumuuliza maswali kadha wa kadha kwamba kwanini na ilikuwaje ndani ya muda mfupi vile alifikia umbali wote huo wa kufanya ngono na mtu mwingine?


Akanijibu eti frustration tu..ndio zimemchanganya akajikuta kafanya hivyo...Mh akilini kweli mimi hainiiingii...Frustration?...Sasa swali langu mimi kwako na hata wadau wengine wanisaidie mawazo.

Je! sio kwamba huyo mtu alikuwa naye muda mrefu tu?...au ni kweli inawezekana ndani ya hizo wiki mbili ndio wamekubaliana na kutiana kweli?...

Na je! ni vyema mimi kumkubali na kumsamehe turudiane kama mwanzo?....je! Inawezekana ndio tabia yake?, kwasababu nijuavyo mimi, mwanamke yeyote anaweza akatongozwa karibu kila siku na watu tofauti, lakini kukubali ndani ya muda mfupi hivyo kumvulia mtu chupi na kufanya naye mapenzi sio rahisi tena ukiwa katika kipindi kibaya umegombana na mpenzi wako ambaye leo au kesho unaomba akusamehe ili mrudiane?


Pamoja na maswali hayo ukweli ni kwamba nimemchukia sana yule dada.

Sasa dada Dinah na Wadau wengine naombeni ushauri...nini cha kufanya hapo?

Natanguliza shukrani zangu, Ahsanteni"
------------------